Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Sat, 26 Mar 2016 20:58:47 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Wasichana Wa Leo https://www.vunjambavu.com/wasichana-wa-leo/ https://www.vunjambavu.com/wasichana-wa-leo/#respond Sat, 26 Mar 2016 20:58:47 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4798 Wasichana Wa Leo

wanawake magari

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.
Jamaa: kuna siri fulani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.
Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?
Jamaaa: nimeoa.
Msichana: Hɛɛɛɛɛɛɛɛ! We umenishtua sana,mimi nilifikiri hili gari sio lako!
??????

]]>
https://www.vunjambavu.com/wasichana-wa-leo/feed/ 0