Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Thu, 21 Jan 2021 21:51:48 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Huyu Ndio Mwanamke https://www.vunjambavu.com/huyu-ndio-mwanamke/ https://www.vunjambavu.com/huyu-ndio-mwanamke/#respond Mon, 26 Sep 2016 20:35:38 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=5118 Huyu Ndio Mwanamke

kondom

Mrembo huyo akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu.

Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio utajua kama umeoa kipaza sauti cha sokoni aua mtu!

Ndio maana mimi huwa nafungasha kondomu ndani ya hela, akiziona anachukua hela na kubakia kusonya tu.

😆  😆  😆  😆  😆  😆  😆  😆

]]>
https://www.vunjambavu.com/huyu-ndio-mwanamke/feed/ 0