Tag: Kenya!
Utani Toka Kenya
UTANI TOKA KENYA
Kama ulipitwa na hii hebu jikumbushe!!!!
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema...
Binti Wa Miaka Kumi Anya Vyuma! | Ni Mombasa, Kenya!
Vyuma vilivyotoka kwenye haja ya mtoto wa umri wa miaka 10 huko Mombasa Kenya.
Inawezekana likawa ni jambo la kuchekesha kidogo lakini lina huzuni zaidi....
