Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Sun, 22 Mar 2020 20:32:00 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Gari Moshi La Kigoma https://www.vunjambavu.com/gari-moshi-la-kigoma/ https://www.vunjambavu.com/gari-moshi-la-kigoma/#respond Thu, 03 Mar 2016 14:28:57 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4728 Gari Moshi La Kigoma

Machizi wawili  walibahatika kupanda gari moshi lililokuwa linaelekea  Kigoma. Huko walikuwa waenda kwa ajili ya matatizo ya kifamilia yaliyokuwa yamewakumba ya kufiwa na chizi mwenzao mwingine.

Wakiwa ndani ya gari moshi mazungumzo yao yalikuwa kama hivi;

Chizi 1: Unaona miti vile inakimbia?

Chizi 2: Eeeeeeeeee! Itabidi tupande miti wakati wa kurudi.

]]>
https://www.vunjambavu.com/gari-moshi-la-kigoma/feed/ 0