Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Wed, 13 Nov 2013 08:39:52 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Steven Kulialia Apata Shavu La Filamu Ya Cheni! | Nimekubali Kuolewa Ndiyo Jina La Filamu https://www.vunjambavu.com/steven-kulialia-apata-shavu-la-filamu-ya-cheni-nimekubali-kuolewa-ndiyo-jina-la-filamu/ https://www.vunjambavu.com/steven-kulialia-apata-shavu-la-filamu-ya-cheni-nimekubali-kuolewa-ndiyo-jina-la-filamu/#respond Wed, 13 Nov 2013 08:39:52 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=2819 Steven

Moja ya kipande cha filamu alichocheza Steve Wa Kulia!

Filamu ya ‘Nimekubali kuolewa’ ni ya Dr. Cheni ambae amemshirikisha shabiki Steven wa Yanga ambae ni maarufu kwa kulia! Itakumbukwa Steven amekuwa maarufu sana kwa kuililia Yanga hasa inapofungwa!


Huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa Steve Kulialia mwenye mbwembwe nyingi na makeke kibao huku analia!

Angalia Video Yake Hapa


]]>
https://www.vunjambavu.com/steven-kulialia-apata-shavu-la-filamu-ya-cheni-nimekubali-kuolewa-ndiyo-jina-la-filamu/feed/ 0