Tag: Bia
Mlevi na Mchungaji
MLEVI NA MCHUNGAJI WAMEKUTANA;
Katika pitapita za mchungaji wa kanisa fulani alikutana na mlevi akiwa na chupa yake ya lubisi kama sio balimi huku anabwabwaja...
Acheni Bia Iitwe Bia
Jamaa alipoteza mali zote na akawa masikini wa kutupwa kwa sababu ya ulevi. Jambo hili lilimsononesha sana kiasi akawa anachukia sana pombe.
Siku moja akapita...
