Tag: Bangi
Bangi Sio Oksijeni!!!
Ni saa saba usiku mwendesha bodaboda mmoja alimalizia kuvuta bangi. Baada ya kumaliza aliingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza na la pili la maji....
Bangi, Bangi, Bangi Nomaaaaaaa!
Acheni tu ipigwe marufuku hii bangi maana ina mambo. Kulikuwa na kundi la vijana mateja wavuta bangi waliokuwa wamejificha kwenye pagali moja huku wanavuta...
