Tag: Baba
Washua Na Simu Janja
Washua Na Simu Janja
Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.
Lakini siku hizi...
Dingi Kafeli Vibaya!
MTOTO : Baba kwani mimi nimetoka wapi?
BABA: Dah!! Mwanangu mbona unaniuliza swali gumu hivyo? Ene-Wei, hebu kaa hapo nikuhadithie. Mimi na Mama yako siku moja wakati anatoka kazini....
Bobi Anayeongea
Bobi Anayeongea
Dogo mmoja alifanikiwa kuingia chuo kimojawapo nchini kwa mbwembwe sana. Katikati ya simesta, dogo akaishiwa hela na akaamua kumwandikia baba yake barua.
"Kwako baba,
Ni...

