Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Tue, 09 Feb 2016 20:42:53 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Kupiga Deki Jitu Likakanyaga Kabla Hapajakauka Inakera! https://www.vunjambavu.com/kupiga-deki-jitu-likakanyaga-kabla-hapajakauka-inakera/ https://www.vunjambavu.com/kupiga-deki-jitu-likakanyaga-kabla-hapajakauka-inakera/#respond Tue, 09 Feb 2016 20:42:53 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4533 Kupiga Deki Jitu Likakanyaga Kabla Hapajakauka Inakera!

polisi

Askari waliitwa kwenye nyumba ambayo ilizuka  ugomvi. Walipofika ikabidi waripoti kwa simu yale waliyoyakuta kwa bosi wao!

Askari: Mkuu tumekuja hapa tumekuta mama mwenye nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza sana!

Afande: Kisa na mkasa hata akafanya hivyo?

Askari: Mama alikua anapiga deki, mumewe akaingia na viatu kabla sakafu haijakauka.

Afande: Mmeshamkamata huyo mama??

Askari: Hapana bado mkuu.

Afande: Mnangoja nini sasa??

Askari: Tunangoja sakafu ikauke afande!

??????????????

]]>
https://www.vunjambavu.com/kupiga-deki-jitu-likakanyaga-kabla-hapajakauka-inakera/feed/ 0