Vunja Mbavu https://www.vunjambavu.com Kucheka Ni Dawa Fri, 18 Dec 2015 20:00:21 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=7.1.2 Vunja Mbavu Kucheka Ni Dawa false Asilimia Kubwa Ya Watoa Misaada Hutafuta ‘Kick’ https://www.vunjambavu.com/asilimia-kubwa-ya-watoa-misaada-hutafuta-kick/ https://www.vunjambavu.com/asilimia-kubwa-ya-watoa-misaada-hutafuta-kick/#respond Fri, 18 Dec 2015 20:00:21 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4144 ujiko

Asilimia Kubwa Ya Watoa Misaada Hutafuta ‘Kick’

]]>
https://www.vunjambavu.com/asilimia-kubwa-ya-watoa-misaada-hutafuta-kick/feed/ 0
Besidei Ya Jizazi Hiyooooooooo! https://www.vunjambavu.com/besidei-ya-jizazi-hiyooooooooo/ https://www.vunjambavu.com/besidei-ya-jizazi-hiyooooooooo/#respond Tue, 15 Dec 2015 17:30:47 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4095 faza-noeli

Msimu wa besidei ya Jizazi umekaribia na umekuja na vitimbwi vyake. Katika pita pita zangu nilikutana na familia moja ikijiandaa na besidei hiyo.

Mke: Mume wangu, Kristimasi inakuja; umepanga kuninunulia zawadi gani?

Mume: Sasa mke wangu, besidei ni ya Jizazi; inakuhusu nini wewe?

noeli-katuni

]]>
https://www.vunjambavu.com/besidei-ya-jizazi-hiyooooooooo/feed/ 0
Noeli Ya Mwaka Huu Patachimbika https://www.vunjambavu.com/noeli-ya-mwaka-huu-patachimbika/ https://www.vunjambavu.com/noeli-ya-mwaka-huu-patachimbika/#respond Sun, 13 Dec 2015 10:04:23 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4065 Xmass-yanukia

Baada ya mtumbua majipu kuendelea kutumbua majipu, siku kuu za noeli na mwaka mpya zinaonekana kuwakalia vibaya watu wengi.

]]>
https://www.vunjambavu.com/noeli-ya-mwaka-huu-patachimbika/feed/ 0
Kitaeleweka Tu Mwaka Huu! #WhatMagufuliWouldDo https://www.vunjambavu.com/kitaeleweka-tu-mwaka-huu-whatmagufuliwoulddo/ https://www.vunjambavu.com/kitaeleweka-tu-mwaka-huu-whatmagufuliwoulddo/#respond Fri, 11 Dec 2015 20:03:19 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=4036 safisha

Dah! Jamaa Mwaka Huu Anawapopoa Tu!

]]>
https://www.vunjambavu.com/kitaeleweka-tu-mwaka-huu-whatmagufuliwoulddo/feed/ 0
Siwezi Kula Matapishi Yangu https://www.vunjambavu.com/siwezi-kula-matapishi-yangu/ https://www.vunjambavu.com/siwezi-kula-matapishi-yangu/#respond Fri, 07 Aug 2015 19:27:05 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=3924 Siwezi Kula Matapishi Yangu



slaa-katuni
Ukimshinda mtu usimzomee




]]>
https://www.vunjambavu.com/siwezi-kula-matapishi-yangu/feed/ 0
Mamvu (Heavy Weight) VS Tingatinga (Dodo Mchangani) https://www.vunjambavu.com/mamvu-heavy-weight-vs-tingatinga-dodo-mchangani/ https://www.vunjambavu.com/mamvu-heavy-weight-vs-tingatinga-dodo-mchangani/#respond Thu, 30 Jul 2015 22:15:05 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=3894 It is a matter of time we’ll see the fight of the Century.



Mamvu (Heavy Weight) VS Tingatinga (Dodo Mchangani)




lowasa-magufuli
Living and death fight October 2015, Team Lowassa vs Team Magufuli



]]>
https://www.vunjambavu.com/mamvu-heavy-weight-vs-tingatinga-dodo-mchangani/feed/ 0
Wanawake Wa Siku Hizi Hawadanganyiki https://www.vunjambavu.com/wanawake-wa-siku-hizi-hawadanganyiki/ https://www.vunjambavu.com/wanawake-wa-siku-hizi-hawadanganyiki/#respond Sun, 15 Feb 2015 10:26:08 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=3540 wanawake-wajanja

Wachina Kuzuiwa Kushiriki Kombe La Dunia Sio Gahawa!!!

Funguka!


]]>
https://www.vunjambavu.com/wanawake-wa-siku-hizi-hawadanganyiki/feed/ 0
Hivi Yakikukuta Haya Utafanyaje? https://www.vunjambavu.com/hivi-yakikukuta-haya-utafanyaje/ https://www.vunjambavu.com/hivi-yakikukuta-haya-utafanyaje/#respond Sat, 14 Sep 2013 17:23:13 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=2643 I-have-a-confession

Umetoka utokako kwa nia ya dhati kabisa uende ukamwombe msamaha mkeo kwa kosa lako kubwa la kuwa na nyumba ndogo moja tu! Hali hiyo ya kuwa na nyumba ndogo ilikuwa inakukosesha sana amani hivyo unaona ni bora umwombe msamaha mkeo ili uachane na nyumba ndogo!


Kutokana na ugumu wa jambo hilo unaanza kulizungumza mara tu unapofungua mlango lakini cha kushangaza unakutana na kile kinachoonekana kwenye picha hii!

Ungekuwa wewe ungefanyaje?


]]>
https://www.vunjambavu.com/hivi-yakikukuta-haya-utafanyaje/feed/ 0
Mh! Hawa Watoto Wa Dot Com! Watatuua Kwa Mawazo! https://www.vunjambavu.com/mh-hawa-watoto-wa-dot-com-watatuua-kwa-mawazo/ https://www.vunjambavu.com/mh-hawa-watoto-wa-dot-com-watatuua-kwa-mawazo/#comments Tue, 10 Sep 2013 23:44:46 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=2591 watoto-wa-dotcom-balaa-tupu

Tupia Maoni Au Like Kama Umenisoma!!!


]]>
https://www.vunjambavu.com/mh-hawa-watoto-wa-dot-com-watatuua-kwa-mawazo/feed/ 1
Ni Upuuzi Kujiua Kwa Ajili Ya Ngono | Mahaba https://www.vunjambavu.com/ni-upuuzi-kujiua-kwa-ajili-ya-ngono-mahaba/ https://www.vunjambavu.com/ni-upuuzi-kujiua-kwa-ajili-ya-ngono-mahaba/#respond Mon, 15 Jul 2013 09:59:20 +0000 http://www.vunjambavu.com/?p=1734 Kumekuwako hulka ya watu kunywa sumu, kujipiga vitanzi au kujimwaga toka maghorofani na namna nyingine za kujiangamiza kwa sababu ya ‘ngono’! Inawezekana ikawa ni kauli kali na yenye kuumiza lakini huu ndio ukweli. Kama uliwahi kufikiria kujiua kwa sababu ya mapenzi ambayo mimi nayaita ‘ngono’ nitakuwa sikosei  kukuita mwendawazimu na ukae ukijua kwamba wewe ni mwendawazimu!


Kuna sababu nyingi sana za wewe kuwa mwendawazimu iwapo utaamua kujiua kwa sababu ya mwanamke au mwanaume unayeshiriki naye ngono akikuacha au kukutenda. Huna sababu ya kujiua kwa kuwa

  1. Hamjazaliwa wote na wala hukutarajia utakutana na mtu kama huyo duniani!
  2. Maisha ni matamu sana japo ni mafupi.
  3. Wala usiwe na papara ya kujiua kwa sababu hutaishi milele.
  4. Kuna watu wanaokujali zaidi ya huyo ambaye mlikutana baa, disko, msibani,kilabuni,uchochoroni,shuleni,chuoni au kwingineko popote ulikokutana naye ambao utawaumiza sana kwa sababu wanakupenda na unawahusu.

  5. Wanaume au wanawake wapo kibao duniani hapa wa bei poa mpaka aghali, haina maana dunia inakuwa imeisha kwako.
  6. Mapenzi ya dhati ni yale yasiyo ya kuumizana, akikuumiza ujue hana mapenzi na wewe!
  7. Ukijiua mwenzako ataendelea kula bata tu wala hana neno maana wewe ni mpumbavu!
  8. Haitakupa furaha wala ushindi kwa sababu utakuwa umekufa.
  9. Dunia nzima itakuona mpumbavu tu na hakuna atakayejali sana ukiachia wale wachache wanaokupenda yaani ndugu zako wa damu.
  10. Kujiua ni dhambi, kama kuna maisha baada ya kifo 100% hutayapata hayo maisha!

Je, bado una sababu za kujiua? kama unazo naomba ufunguke hapa chini!

]]> https://www.vunjambavu.com/ni-upuuzi-kujiua-kwa-ajili-ya-ngono-mahaba/feed/ 0