Jambazi Na Milioni 50 Za Nathan

0
Jambazi Na Milioni 50 Katika pitapita za jambazi mmoja usiku akitafuta windo alisikia watu wakibishana ndani ya nyumba moja. Walikuwa wanabishana kwa sauti kubwa huku...

Moyo Ulioumbwa Kwa Upendo

0
Moyo Ulioumbwa Kwa Upendo Moyo ulioumbwa kwa upendo hutenda yaliyo makuu. Haubagui wala hauchoki kufanya yale yaliyo mema hata kama hakuna tumaini la malipo. Huyu...

Ripoti Ya Matokeo Darasani

0
Ripoti Ya Matokeo Darasani Mtoto  mmoja alikua anaangalia tv? kwa muda mrefu sana. Kitendo kile kilikuwa kina mkera sana baba yake kwani aliona mwanaye hautumii muda...

Usiombe Yakukute Tena Ukweni

0
Usiombe Yakukute Tena Ukweni Kwa kweli usiombe yakukute haya yaliyomkuta bidada huyu. Unaweza kutamani ardhi ipasuke ujifunike milele. Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

Hivi Ndivyo Museven Alivyofunga Goli La Mkono

0
Hivi Ndivyo Museven Alivyofunga Goli La Mkono Huko Uganda, Rais Museven kama kawaida yake katupia goli la mkono. Hii ni baada ya kuwaotea wapindani wake...

Nani Mkali

0
Nani Mkali Hii hapa watu waliacha kazi zao na kuwekeana madau ili washuhudie nani mkali. Hata wewe acha unachokifanya halafu shuhudia nani mkali hapa.

Ipende Kazi yako

0
Ipende Kazi yako Haijalishi umesoma au hujasoma, umeajiriwa au umejiajiri lakini kama utaipenda kazi yako basi utaifanya kwa furaha kubwa sana. Maisha yako yatakuwa na...
Bibi Hatari

Bibi Hatari Kwa Kupinga

0
Bibi Hatari Kwa Kupinga Bibi mmoja alienda benki, akataka aonane na meneja. Baada ya kusikilizwa alifanikiwa kuonana na meneja kama lilivyokuwa hitaji lake. MENEJA: Una shida...

Tabibu Ray Wa Bongo Movie Ataua Watu

0
Tabibu Ray Wa Bongo Movie Ataua Watu Msanii Vicent Kigosi maarufu kama Ray amewaacha watu hoi pale alipojaribu kujibu shutuma za msanii wa Bongo Fleva, Ney...

Kutana Na Paka Jasiri

0
Kutana Na Paka Jasiri Paka ni mnyama wa kufugwa. Famili nyingi ni rafiki wa paka kwa sababu paka ana sifa ya usafi. Pia Paka hufukuza...