Jamaa mmoja hakufunga zipu ya suruali yake na kwa bahati mbaya eneo alilokuwepo kulikuwa na mwanamke karibu yake. Mwanamke yule aliona tukio hilo na akaamua kutumia tafsida kumtahadharisha jamaa:
Mwanamke: Mlango wa gereji yako uko wazi.
Jamaa:(Huku anachekacheka) Umeona Range Rover Sport langu lilivyoegeshwa?
Mwanamke: Hapana, nimeona Toyota Vitz yenye matairi mawili chakavu sana!
Acha Ujivuni!!!!!!!!!!!!!!
**********



