FASHION WEEK
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Anunua Nguo Mpya Akiwa Uchi
Ushawahi kushuhudia mteja aliye uchi? Niko kwenye baa moja hapa nimekaa napiga kitu laini cha Serengeti Lite. Namwona demu mkali...
GADGET WORLD
BEST Smartphones
Kuna Migambo Wanaboa, Ona Kilichomsibu Huyu
Kuna Migambo Wanaboa
Kuna maeneo kadha wa kadha unaweza kupita ukakuta yanalindwa na migambo au walinzi. Lakini mara nyingi migambo hao hutaka kujitutumua na kuwatisha...
POPULAR VIDEO
Usiombe Yakukute; Mke Anauma Wewe!!!
USIOMBE YAKUKUTE
Jamaa mmoja alienda kwa mchungaji kuungama,
Jamaa: Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana.
Mchungaji: Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu.
Jamaa: Mchungaji nimezini...

















