praying

Kutokana na haraka haraka ya kuwahi ibada, jamaa alisahau kuzima simu akiwa msikitini anaswali.  GHAFLA simu ikaita. Ili kuua sooo kimya kimya, jamaa akaingiza mkono mfukoni ili aikate.  Kwa bahati mbaya akabofya kitufe cha kupokelea.

Jamaa alipohangaika kuzima akajikuta kaminya ‘loud’spika ikasikika sauti, ‘ETI HONEY UMESEMA NIWEKE KITIMOTO KIASI GANI?’

Haya sasa!!!!

Comments

comments