Zawadi Ya Valentine’s Day

Zawadi-Ya-Valentine's-Day

Huu ni msimu wa wa zawadi ya Valentine’s Day. Vijana inabidi mjipange vizuri sana. Jamaa mmoja alikuwa na demu wake out! Yule demu akaamua kudai zawadi yake ya Valentine’s Day.

Demu: Honey, ukininunulia Range Rover Sport kwenye Valentine’s Day ya mwaka huu nitakuwa wako daima na nitakupa chochote utaacho.

Jamaa: Mh! Mpenzi, chagua zawadi nyingine mbona utaniua mpenzi!

Demu: Sawa baby, hii ni rahisi sana. Kama Arsenal atamfunga Barca na kutwaa kombe nitakuwa wako na nitakupa chochote!

Jamaa: Baby?

Demu: Yes

Jamaa: Unataka Range Rover Sport kutoka nchi gani nikukabidhi siku ya Valentine’s Day?

Comments

comments