Za Mwizi 40 | Anasa Matopeni Na Mke Wa Mtu

mkewa-mtu

Waswahili wanasema, siku za mwizi ni arobaini. Jamaa mmoja mwizi wa wake za watu alikuwa na tabia ya kutoka na mke wa mtu. Kwa sababu alikuwa na gari kubwa la kisasa lenye uwezo wa 4WD, aliudharau mfereji wa maji yaliyokuwa yametuama na kutaka kuvuka ili aende kitongoji jirani akabanjuke na huyo mke wa mtu.

Kwa bahati mbaya sana gari lile likanasa katikati ya dimbwi. Unataka kujua ni kitu gani kilimpata mwizi huyo? Angalia video yake.

Video Hii Hapa


Comments

comments