burundi

Hakika yanayotokea Burundi ni machukizo makubwa sana kwa Mungu. Watu wanauawa ovyo kama kuku na wanachinjwa hadharani kama ndege. Sidhani kama utakuwa na ujasiri wa kuiangalia video hii nitakayokuonyesha mpaka mwisho. Kuna mtu anapaswa kufanya maamuzi magumu kuwanusuru Warundi.

Onyo!!!! Video Hii Inapicha za Kuudhi, Kuogofya na Kukarahisha

Iangalie kwa Uamuzi wako Mwenyewe

Video 1

Video 2

Comments

comments