Wasichana Wa Leo

wanawake magari

Jamaa yupo ndani ya Range rover yake mpya na msichana ambaye ni mpenzi wake.
Jamaa: kuna siri fulani nimeitunza moyoni mwangu kwa muda mrefu na nikaona kama nitakuambia lazima utaniacha.
Msichana: siri gani hiyo mpenzi wangu?
Jamaaa: nimeoa.
Msichana: Hɛɛɛɛɛɛɛɛ! We umenishtua sana,mimi nilifikiri hili gari sio lako!
??????

Comments

comments