Washua Na Simu Za Kupangusa

simu ya kiganjani

Wazee wengi ni watata na wanakuwa manunda sana wakiwa nyumbani. Sio rahisi sana kupiga stories na dingi kila wakati.

Lakini siku hizi muda pekee ambao unaweza kuzoeana na dingi ni pale unapomfundisha kutumia simu ya smartphone yaani simu za kupangusa.

Huwa wanakuwa wapole sana aisee yaani hapa unaweza hata kumwagiza maji ya kunywa na akakuletea huku umepiga nne kwenye kochi!

Chezea simu za kupangusa…………………….

 😀   😀   😀   😀   😀   😀   😀   😀

Comments

comments