Wanaume Wa Dar vs Wanaume Wa Mikoani

wanaume-dar

Siku za hivi karibuni kumekuwa na vijembe baina ya wanaume wa Dar na wanaume wa mikoani katika mitandao ya kijamii. Wanaume wa mikoani wamekuwa wakijinasibu wao ni bora kwa kila kitu hali kadhalika wanaume wa Dar nao wamekuwa wakijinadi kuwa mahodari kwa kila jambo.

Kula chuma hiki.

Comments

comments