andrew-singer

Kuna wakati watu wanaweza wasijue thani yako mpaka utakapoonyesha kile ambacho unaamini kina thamani kubwa sana. Andrew hakuwahi kuimba sehemu yeyote mbele za watu wala wazazi wake hawakuwahi kumsikia akiimba wala marafiki zake wala yeyote yule mpaka siku alipoamua kushiriki mashindani ya vipaji vya kuimba. Siku hiyo aliushangaza ulimwengu kwa sauti yake maridhawa kabisa.


Angalia Video Yake Hapa


Comments

comments