Usikurupikie Viatu Hivi | Hatari

viatu

Watu wengi tuna vaa viatu vya aina mbalimbali. Wapo watu ambao hubadili viatu kila uchao lakini wapo wale wenzangu na mimi ambao hubadili viatu mara tu sole inapotoboka.

Kuwa makini sana na viatu vyako kwani usivivae bila kuvikagua. Hasa viatu vya kuficha kabisa miguu. Angalia video hii ndio utanielewa.

Video Hii Hapa


 

Comments

comments