ushuzi

Changudoa mmoja katika harakati zake za kusaka chochote alijikuta akinasa mimba tata. Mara nyingi kina mama wajawazito huitaji huduma za kiliniki ili kulinda afya yao na ya watoto wao!

Baada ya kupatwa na masahibu hayo, changu huyo aliamua kwenda kliniki maana alikuwa na mimba. Alipofika huko alikuta tangazo,


‘KILA MJAMZITO LAZIMA AJE NA BABA WA MTOTO.’

Baada ya kuona tangazo hilo changu yule akamfakamia nesi,

CHANGU: Nesi mimi changudoa sina mume!

NESI: Hapa itakuwa ngumu hatuwezi kukuhudumia. Yaani unataka kusema huwezi kukumbuka nani haswa ndiye aliyekutia mimba

CHANGU: Hivi Nesi wewe  ukila maharagwe unaweza kulitambua lile haragwe ambalo limekufanya ujambe?


NESI: Haya dada njoo tukupime.

**********

Comments

comments