Unadhani Wewe Umekua Mkubwa?

 mama-na-mwana

Dogo mmoja alimwuliza mama yake swali ambalo lilikuwa linamsumbua sana kutokana na mazingira ya geti kali kuwa magumu sana kwa dogo.

Dogo: Hivi Mama nikifikia umri gani ndio nitakuwa mkubwa, nitaanza kuwa huru, naenda ninapotaka na kufanya ninachotaka na ninarudi muda ninaotaka na wewe mama huniulizi kitu?

Mama: Baba’ko mwenyewe hajafikia umri huo…!!!!

Comments

comments