Umalaya Ni Wa Kukomeshwa

Umalaya

Umalaya umekuwa ni biashara ya wanawake wengi sana maeneo ya mijini. Leo hii wanawake wengi wamekuwa wakiendesha maisha yao kwa kufanya umalaya. Hili si tatizo jipya kwani makahaba walikuwepo tangu enzi na enzi.

Ila umalaya unapoachwa na ukashindwa kukemewa kuna madhara mengi sana yanaikumba jamii. Angalia matoke haya ya umalaya.

Angalia Video Hii Kwa Hiyari Yako Mwenyewe!!!!!

Comments

comments