Moja ya vioja ambavyo viliwahi kutokea Tanzania ni pale Rais alipopigwa kibao hadharani wakati anahutubia. Mkasa huu ulimkumba Rais Ali Hassan Mwinyi miaka kadhaa iliyopita. Kama ulipitwa na mkasa huu hebu jionee mwenyewe!


Comments

comments