Traffic Na Mhaya

Mhaya mmoja alikuwa anarandaranda mjini maeneo ya Sayansi jijini Dar es Salaam akiwa na gari lake na ghafla akasimamishwa na askari wa usalama barabarani.

Baada ya ukaguzi wa hapa na pale uliofanywa na yule askari ndipo alipobaini makosa kadhaa na yafuatayo yalikuwa ni mazungumzo yao:

Traffic: Mbona hujafunga mkanda?

Mhaya: Harooo! Unajua hii ni gari gani?

Traffic: Hapana.

Mhaya: Hii ni RANGE 2014, mkanda wake ni WIRELESS huwezi ona….!!!!!

Chezea Mhaya wewe!


Comments

comments