mvuta-unga

Teja mmoja maeneo ya Kinondoni kwa Manyanya alikuwa amejiegesha katika uchochoro wake ambao alikuwa anautumia kila siku kujidungia ‘unga’ wake!

Wakati anaendelea kujipa dozi ghafla akasikia kishindo cha mtu kwa mshtuko akahoji,


Teja: Nani wewe?

Israel: Israel mtoa roho!

Teja: Ahaaa! Nilidhani polisi, karibu upate dozi hapa!!!!

**********


Comments

comments