Tabibu Ray Wa Bongo Movie Ataua Watu

maji na mazoezi

Msanii Vicent Kigosi maarufu kama Ray amewaacha watu hoi pale alipojaribu kujibu shutuma za msanii wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego zilizomshutumu Ray kuwa anajichubua. Ney alienda mbali zaidi baada ya kusema pamoja na utu uzima wa Ray bado anaishi kwa mama yake na pesa zote za Bongo movie anazopata anatumia kununua mkorogo.

Huu Hapa Wimbo Wa Ney – Shika Adabu Yako

Inasemekana baada ya wimbo huo, Ray alijaribu kujibu mapigo:

Huyu hapa ni moja wa wagonjwa wa tabibu Ray ambao wanatumia dozi iliyopendekezwa na Ray namna ya kunawilisha ngozi.

 

Comments

comments