Steven

Moja ya kipande cha filamu alichocheza Steve Wa Kulia!

Filamu ya ‘Nimekubali kuolewa’ ni ya Dr. Cheni ambae amemshirikisha shabiki Steven wa Yanga ambae ni maarufu kwa kulia! Itakumbukwa Steven amekuwa maarufu sana kwa kuililia Yanga hasa inapofungwa!


Huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa Steve Kulialia mwenye mbwembwe nyingi na makeke kibao huku analia!

Angalia Video Yake Hapa


Comments

comments