Simulizi Ya Kusisimua Ya Fumbalo Inaendelea

Fumbalo

Umewahi kusoma simulizi ya kusisimua ya Fumbalo? Hii ni moja ya simulizi za kusisimua sana ambazo zinapatikana hapa hapa Vunja Mbavu.

Simulizi hii haijafika mwisho na mtoa simulizi amekuwa akihitaji motisha. Sote twajua utunzi ni ajira na kama utapenda tungo ya mtu basi ni vizuri kumrejeshea shukrani kwa kazi yake.

Simulizi hii itakuwa inaendelea kila baada ya siku mbili. Lakini kwa sasa mtunzi anahitaji wadhamini kwa kila sehemu moja. Kama umevutiwa na simulizi hii na unahitaji iendelee basi chukua hatua ya kumdhamini mtunzi wetu.

  1. Tuma kiasi cha shilingi za Kitanzania 500 tu kwa simu.
  2. Ukishatuma tutumie ujumbe wa maandishi kupitia ukurasa wetu wa FACEBOOK ili uingie kwenye orodha ya wasomaji wetu makini. Mambo mengi mazuri yanakuja kwa ajili yako.
  3. Kiwango cha udhamini kwa sehemu kikifikiwa basi mtunzi wetu ataendelea na simulizi yake.
  4. Udhamini wako utakuwezesha kutangaza biashara au huduma yako bure katika kurasa zetu.

Namba zetu ni:

  • TigoPesa : 0713 255 350
  • MPesa: 0755 255 350
  • Airtel Money: 0788 255 350

Kama hujabahatika kusoma hii hadithi tangu mwanzo bofya hapa!
Ukiwa na swali au ushauri usisite kuwasiliana nasi kwa:
Baruapepe: info@vunjambavu.com

Asante sana!!!
Vunja Mbavu

Comments

comments