SIKIA HII MUME ANAMWULIZA MKEWE

Baada ya uvumi kuzaa mtaani kwamba kuna njemba moja imepiga na kughalaghaza wake za watu karibia wote mataani, jamaa mmoja aliamua kumwuliza mkewe juu ya ukweli wa jambo hilo;

MUME: Mke wangu, nasikia Beka katembea na wake za watu wote hapa mtaani kasoro mmoja tu!?

MUKE: Mh! Basi huyo aliyebaki atakuwa Mama Sam, maana yule mama ndo anajifanyaga mlokoleeeee sanaaaa! Mi simpendi!

Jiongeze mwenyewe!


Comments

comments