mumeSIFA 10 ZA MWANAUME AMBAYE KILA BINTI ANAYETAKA KUOLEWA ANGEPENDA AOLEWE NAYE

  1. Awe na pesa nyingi
  2. Siyo lazima awe mzuri wa sura but most of times awe handisome
  3. Ajenge ukweni na sio kwao
  4. Awe mpole
  5. Asimuonee wivu mke wake
  6. Awe mwenye upendo wa dhati
  7. Asishike simu ya mke wake.
  8. Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani napo asiulize ila mpaka mkewe aamue kumwambia
  9. Awe anamskiliza mke wake kwa kila kitu.
  10. Asitamani mwanamke mwingine zaid yakeUKIMPATA MWANAUME MWENYE SIFA HIZO KAPIME DNA LAZIMA ATAKUWA NI BABA YAKO.

Comments

comments