Shule Ngumu Jamani

shule

Enzi za Shule,…

Unatoka chumba cha  mtihani wa hesabu na unakuta  magwiji wa namba wanabishana. Mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema ni -3 wakati wewe umepata jibu 41,987.

Hapo ndio utaelewa kuwa mlemavu  sio mpaka  yule aliyekaa kwa wheelchair pekee yake.

????

Comments

comments