Je, umejiandikisha kupiga kura?

Huu ni wakati wako wa kufanya maamuzi kwa ajili yako na wadogo zako wasio na haki ya kupiga kura kikatiba.

Kuna sehemu nyingine zoezi la uandikishaji vitambulisho vya kupigia kura kwa mfumo wa BVR limekuwa ni vioja na vituko mtupu. Kutokana na zoezi kuendeshwa taratibu sana jambo linalosababisha watu wengi kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu limewafanya wadau kuja na njia mbadala! Angalia njia hii mbadala ya kuhakikisha kila mtu anajiandikisha kupiga kura.

BVR

Hii ni foleni ya kwenda kujiandikisha katika kituo cha kundikisha vitambulisho vya kupigia kura sehemu fulani Tanzania
Comments

comments