savaivo

Kunapotokea majanga ya kimaumbile si rahisi sana kwa viumbe wanaokuwa juu ya uso wa dunia kuwa na bahati sawa ya kuyakabili na kuishi. Huu ni wakati ambao viumbe wengi zaidi huangamia.

Katika video hii angalia umhimu wa mazoezi katika matukio haya hasa pale jiji la Daslam lilipofurika kwa maji!


Angalia Video

Umuhimu wa Mazoezi from Majanga Tupu on Vimeo


Comments

comments