Rangi Nyeusi Ya Ngozi Ni Tikiti Ya Kifo Marekani | Ubaguzi

ubaguzi-usa

Alton Sterling ni mweusi mwingine anayeuawa na polisi katika mazingira ambayo ni dhahiri yana kila chembe ya ubaguzi, hasira na mapambano dhidi ya mtu mweusi. Katika taifa ambalo linahubiri demokrasia ni aibu sana kwa mauaji ya aina hii kutokea.

Yaani rangi yako nyeusi inaweza kupelekea ukapigwa risasi wakati wowote nchini Marekani. Polisi wanaoonekana katika video hii ya ovyo kuitazama wasingeweza kumfanyia hivi mzungu mwenzao. Mimi niseme wazi tu, I hate white people because they do not love us, we black people. Hakuna mzungu anampenda mwafrika huo ndio ukweli.

Angalia Video Inatisha

Video Nyingine

Comments

comments