Raha Ya Mlo Ule Utakacho

mlo

Kama umewahi kutembelea kwenye mahoteli basi lazima unafahamna namna milo yao inavyokuwa. Lakini raha ya mlo wowote ule ni kula kile utakacho. Tena mlo huwa unapanda iwapo utakula kwa namna unayoipenda.

Sio kila mlo unaliwa kwa namna inayofanana. Ipo milo ambayo ulaji wake inabidi ujipange. Ila nimeipenda hii ni Kibantu zaidi.

Video Hii Hapa

Comments

comments