fat

Hakika pesa ina nguvu sana. Kuwa na pesa hakumaanishi unaweza kuyamaliza matatizo yote lakini kutokuwa na pesa ni tatizo lisilo na ufumbuzi kabisa.


Jitahidi kuwa na pesa uone jinsi pesa inavyoleta ufumbuzi wa matatizo. Kuna Mmarekani mmoja aliishi zaidi ya miaka 40 bila kupata mpenzi kutokana na umbo lake tipwatipwa! Kwa bahati akashinda bahati nasibu ya dola za Kimarekani milioni moja, baada ya siku mbili alipata mpenzi aliyekuwa tayari kuishi naye kwa uzima na kifo!

Angalia Video Hii


Comments

comments