Pale Mamluki Anapokosea Timing Za Futari

Mfungo wa Ramadhani ni maarufu sana kwa chakula kinachofahamika kwa jina la futari. Futari ni mseto wa viazi, mihogo, magimbi au maboga yanayotengeneza rojorojo nzuri inayoliwa na mtu aliyefunga.Msimu wa kufunga watu wengi huzamia ili na wao wale futari. Jamaa huyu inaonekana kabisa ni mamluki aliyevamia msikiti ili akajipatie futari.

futari

Comments

comments