tetemeko

Maarifa yamezidi kuongezeka siku hata siku na sasa wataalam wamekuja na mbinu mbadala ya kutengeneza vitanda ambavyo vinaweza kukuokoa wakati wa matetemeko ya ardhi. Hakika Vitanda hivi ni vya kipekee kwani vinapohisi mtikisiko tu usio wa kawaida vinafanya yake.  Unataka kujua vinafanyaje?

Angalia Video Hii

Comments

comments