Nimevimba Daktari

Nimevimba

Jamaa alikuwa na  matatizo ya kiafya na akaamua kwenda kumwona  daktari

Mgonjwa: Daktari nina tatizo huku chini!
Daktari: Hebu vua tuone.
Mgonjwa: Navua ila usinicheke ,tafadhari Daktari usinicheke
Daktari: Usijali mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgojwa.

jamaa akavua suruali kuonesha DUSHELELE yake. Basi daktari kuona uvumilivu ukamshinda akaanza kucheka kama dakika tatu hadi machozi yakamtoka kwani uume wa jamaa ulikuwa ni mdogo kama betri ya ukubwa wa AAA (yaani betri za remote ya king’amuzi). Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea.

Daktari: Eenhee tatizo nini?
Mgonjwa:  Nimevimba toka juzi.

Daktari akazimia pale pale….

Comments

comments