jikedume

Je, yupi mwanamke hapa?

Ni mwanamke au mwanaume? Hili ndilo swali ambalo wengi hujiuliza punde wanapokutana naye kwa mara ya kwanza. Hata hivyo Keziah Njeri kutoka eneo la Muriru, Nyeri anakubali kuwa anapenda starehe za wanaume kuliko za kike. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Shisia Wasilwa, Keziah hufanya kazi za sulubu ili kujikimu. Ombi lake kwa serikali kuhamasisha wenyeji dhidi ya maumbile yake ili asinyanyapaliwe.


Tumemshuhudia mwanariadha Caster Semenya akizua utata katika jinsia yake jambo lililopelekea kupimwa vichocheo vyake ili kubaini kama ana vichocheo vya kiume! Jambo hili linaweza kufanana na la mwanamke Keziah ambaye amekuwa na tabia na mwonekano wa kiume zaidi licha ya kuzaa mtoto mmoja katika maisha yake!

Video Yake Hii Hapa


Comments

comments