lini-ulianza-kupika

Ni lini ulianza kupika kwa mara ya kwanza?

Kuna wanawake wengi siku hizi hawajui kupika na huo ndiyo ukweli. Tatizo linaanza kujitokeza pindi wanapoingia katika mahusiano na wanajikuta wanashindwa kuwapikia waume zao.

Inawezekana ukawa na sababu za kizungu na mapozi ya mbele lakini midume mingi ya kiafrika inapenda wanawake wanaojua kupika na kama hujui kupika itakula kwako.

Swali la msingi nalotaka kujua kutoka kwako, wewe kama binti ulianza lini kupika na chakula chako cha kwanza kupika kilikuwa ni chakula gani? Fungukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

**********


Comments

comments