Ngoma Za Pwani

ngomani

Ngoma za Pwani zimekuwa na ukakasi mkubwa sana kwa wanajamii. Mara nyingi ngoma hizi huchezwa mchana na usiku pasipo kujali uwepo wa watoto wadogo. Watu wanaopenda sana kucheza hizi ngoma hutokea ukanda wa Pwani. Haina maana makabila mengine hayachezi ngoma ila hizi za watu wa Pwani zina changamoto sana.

Kwa bahati mbaya wengine ni wake za watu na wakiaga wanaenda ngomani wala sio tatizo kwa waume zao. Sasa mkeo akienda ngomani yawezekana akayafanya haya akiwa huko! Kazi kwako mwenye mke anayeaga kwenda ngomani kila wiki!

Comments

comments