mwili-mmoja

Hakika siku zote ndoa huwa ni tamu sana inapokuwa mpya ila ikianza kuvunda basi ndoa huwa ni chungu sana kama shubiri. Licha ya vitisho vyote katika ndoa kila mtu anaweza kuifanya ndoa yake iwe na furaha au laa!

Dada mmoja alichoshwa na vituko vya mume wake  baada ya kuona mambo anayofanyiwa haya mpendezi na kwa hasira akaamua kuropoka,

Mke: Bora ningeolewa na shetani kuliko wewe

Mume:  Dini hairuhusu mtu kuolewa na ndugu yake!

WATU WAMEVURUGWA KWELI!!!
??????

Comments

comments