Ndi Ndi Ndi Ya Joti Hatari Tupu

ndindindi

Wimbo wa mwanadada komando maarufu kama Lady Jay Dee, Judith Wambura Ndi Ndi Ndi umeendelea kupasua anga. Na sasa wimbo huu umekuja kivingine mara baada ya mchekeshaji maarufu wa Ze Komedi Joti kuipa video yake toleo jipya!

Kula Chuma Hiki

Comments

comments