Mzuka Unapokuharibia Siku

mzuka

Mzuka husadikika kuwepo na wakati fulani watu hushuhudia mizuka kwa macho yao. Huu mzuka ukikutokea kwako na upo peke yako lazima ulale kwa jirani! Huyu jamaa bila shaka siku yake iliharibika sana baada ya kukutana na mzuka huu!

Comments

comments