baiskeli-ya-wizi

Dogo mmoja aliibiwa baiskeli yake katika mazingira ya kutatanisha sana.  Baada ya tukio hilo, dogo aliamua kwenda kushtaki polisi na kutoa ripoti ya kuibiwa baiskeli yake.

Polisi: Nikusaidie nini dogo?

Dogo: Nimekuja kutoa taarifa ya kuibiwa baiskeli yangu!

Polisi: Unahisi nani atakuwa kakuibia?

Dogo: Nahisi baba au mama!

polisi: Kwa nini?

Dogo: Kwa sababu walipoingia chumbani kulala nilisikia baba akimwambia mama ”PANDA JUU IMESIMAMA!”,  sasa walikuwa wanapanda nini kama sio baiskeli yangu!! Ndo maana nimekuja mbio kushtaki!!

Comments

comments