mama

 MWanamke wa Shoka – Kazi ni jambo la msingi sana na kila mmoja anapaswa kufanya kazi kwa bidii ili kujikwamua kiuchumi. Katika mikoa ya nyanda za juu kusini watu wamekuwa wakijali sana utu wao! Haina maana hakuna watu waovu na makahaba lakini asilimia kubwa ya kina mama hufanya kazi kwa bidii ili kujipatia vipato vyao.


Upishi wa pombe za kienyeji zinazokubali na mafuta vimekuwa ni mkombozi wa kina mama wengi sana kusini mwa Tanzania. Kwa jinsi hiyo kila mwanamke anakuwa anatumia fursa aliyonayo na ujuzi mdogo kutengeneza biashara. Watu hawa hawana mafunzo wala taaluma kubwa! Uzoefu wanaopitia katika maisha huwapelekea wao kuwa wabunifu!

Una maoni gani kuhusiana na picha hii?


Comments

comments